Usafi wa Ndani
Tunatumia mashine za kisasa na dawa rafiki kwa mazingira kung'arisha sakafu, kuta na dari.
Uthibitisho wa Kazi
Tazama mabadiliko tunayoyaleta kwenye kila mradi tunaogusa.
Kabla
Baada
Ulinzi wa Kudumu (Fumigation)
Mazingira bila mende na kunguni
Kabla
Baada
Usafi wa Sofa & Mazulia
Mng'ao na harufu ya kuvutia
Mazingira Bila Wadudu!
Usiruhusu wadudu waharibu amani yako. Tunadhibiti wadudu wa kila aina kwa kutumia mbinu ambazo ni salama kwa watoto na wanyama wa nyumbani.
Dawa Zilizothibitishwa (ISO Standard)
Wataalamu Waliohitimu